• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

IRINGA DC YAPONGEZWA KWA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Imewekwa : August 21st, 2023

IRINGA DC YAPONGEZWA KWA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa vijijini imefanya ziara yake tarehe 21.08.2023 kwa siku ya kwanza na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Miradi iliyotembelewa ni;

  • Iringa Girls - ujenzi wa madarasa, mabweni na matundu ya vyoo vyenye thamani ya Tshs. 353,348,500/- ambayo yapo kwenye hatua ya umaliziaji. chanzo cha fedha ni ufadhili wa kampuni ya Barick pamoja na fedha kutoka serikali kuu
  • Kata ya Kihanga – Ukarabati wa barabara ya Igangidumu – Magubike, barabara ya Makombe – Magunga na Kihanga – Magunga zenye thamani ya Tshs. 250,000,000/-. Ukarabati huu unasimamiwa na wakala wa barabara mijini na vijijini (TARURA)
  • Shule ya Msingi Nzihi – Ujenzi wa Matundu 16, mnara wa tenki, kinawa mikono, kichomea taka na uvunaji wa maji ya mvua 44,237,539.82/-
  • Kijiji cha Ilalasimba – mradi wa ufugaji wa ngombe wa maziwa kutoka katika kikundi cha Agape kupitia mradi wa “SLR”. Mradi ulianza kwa wanakikundi kupewa jumla ya ng’ombe 3 waliokuwa na mimba wenye thamani ya Tshs 10,000,000/- ambapo hadi sasa kuna ng’ombe 3 na ndama ambapo wanakikundi kuhapa Zaidi ya lita 24 za maziwa kwa siku.

Kamati imeweza kukagua miradi hii na kupongeza hatua iliyofikiwa pamoja na utayari wa wananchi kupokea miradi. Pia kamati  imeagiza kuwa mapungufu machache yaliyobainishwa yafanyiwe kazi.

Kwa niaba ya kamati, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa ndugu Kihwele ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi za miradi kwenye Wilayah ii na kuwaomba wananchi kumuunga mkono kwa kazi hii.

Eitha Mhe. Mwenyekiti ametoa pongezi kwa viongozi wote walioshiriki kwenye usimamizi wa utekelezaji wa miradi na kuwaasa kuitunza ili ilete manufaa tarajiwa, “Kila mmoja anatakiwa ahakikishe analinda miundombinu hii, anaithamini na kutimiza wajibu wake kwani mtu hajulikani kwa miaka aliyoishi bali hujulikana kwa kazi alizofanya”

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Veronica Kessy amemshukuru Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za miradi na kuahidi kuwa changamoto chache zilizosalia zinachukuliwa na kwenda kufanyiwa kazi ikiwemo changamoto ya maji hasa kwa vijiji vya kata ya Kihanga na Nzihi.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAZINDUA SHULE MPYA YA SEKONDARI MAKATAPOLA

    May 04, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa