Katibu wa TAGCO Ndg. Innocent Byarugaba amepata nafasi ya kutembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa katika maonesho ya Nanenane kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini mbeya mapema Agosti 02, 2025.
Akizungumza na wakilima na wajasiriamali bandani hapo Ndg. Byarugaba ametoa ushauri kuwa ni vema wazalishaji wa bidhaa zitokanazo na mazao ya kilimo na mifugo wakawa na alama za utambulisho wa bidhaa zao (labels) zikiwa na utambulisho wa Tanzania au sehemu halisi zilikozalishwa badala ya kutangaza bidhaa za nchi zingine.
Kwa upande wa bidhaa, Ndugu Byarugaba amepongeza uwepo wa bidhaa halisi na za asili kwenye banda la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kuongeza kusema kuwa elimu endelevu inapaswa kutoleā¦
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa