Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa iringa Mheshimiwa Peter Serukamba zawadi ya ushindi wa jumla ulipata Mkoa wa Iringa katika Kampeni ya Usafi wa Mazingira Kitaifa, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kampeni ya Mtu ni Afya na Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Kampeni ya Mtu ni Afya yaliyofanyika Kibaha Mkkoani Pwani Mei 09, 2024
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa