Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa Robo ya Nne limefanyika Juni 18 - 19, 2025. Siku ya Kwanza ya Mkutano ilikuwa ni taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri na kutoa taarifa kutoka kwenye Kata ya kila Diwani.
Siku ya Pili ya Mkutano ikiwa ni Baraza Kamili limefanyika kwa kutoa taarifa kwa kila Kamati na kuzijadili kwa kina na kutolea ufafanuzi wa kila hoja.
Baraza limempongeza Mkurugenzi Mtendaji kwa utendaji wake na kufanya hoja kuwa chache ambazo zitafanyiwa kazi baada ya muda mfupi.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa