Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bwana Bashir Muhoja akizungumzia juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa yaliyojengwa kwa fedha za Uviko 19
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mh. Stephen Mhapa akitoa pongezi kwa Kamati ya ujenzi kwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa wakati
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh. Mohamed Moyo akitoa taarifa ya kukabidhi madarasa 94 kupitia mradi Namba 5441 TCRP kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Queen Curthbert Sendiga tarehe 07/01/2022
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Queen Sengida akikata utepe kuashiria kupokea madarasa 94 yaliyojengwa kwa fedha za Uviko 19
Viongozi wa Chama na Serikali wakishangilia mara baada ya kukabidhiwa madarasa 94 yaliyojengwa kwa fedha za Uviko 19
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Wakili Bashir Muhoja, akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Queen Sendiga.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Sendiga akikagua moja ya darasa ya shule ya Sekondari Kalenga yaliyojengwa kwa fedha za Uviko 19 kabla ya kukabidhiwa madarasa hayo.
Diwani wa Kata ya Maboga Mh. Venislaus Muyinga akifafanua jambo mbele ya Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh. Mohamed Moyo katika kukagua mradi wa maji uliotekelezwa katika kijiji cha Magunga Kata ya Maboga
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Queen Sendinga akimtwishwa ndoo ya maji mwananchi Maria Mgongolwa kama ishara ya kukabidhi mradi huo kwa wananchi wa Kijiji cha Magunga Kata ya Maboga
Tanki la maji la lita 100,000 linaloendelea kujengwa katika kata ya Luhota kijiji cha Ndiwili
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa