Rais Magufuli asimama kusalimia wananchi wa Ifunda licha ya mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha
Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Iringa yakutana kujadili Maendeleo
Ujumbe wa Watu watatu kutoka Shirika la Ghana Hope Foundation umetia timu katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kuelezea malengo yaliyowaleta ambpo kubwa ni kusaini mkataba wa makubaliano na ushirikiano kati ya Shirika hilo na Halmashauri na pia kusaidia kuleta vifaa vya katika upande wa hospitali ya wilaya na baadhi ya vituo vya Afya vikiwemo Idodi, Ismani na Kimande.
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa