Imewekwa : April 29th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mapema hii leo Aprili 29, 2025 imekabidhi Mwenge wa Uhuru 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ukiwa umemaliza mbio zake Iringa DC kwa kukimbizwa kilometa 182.
...
Imewekwa : May 4th, 2025
Mwenge wa Uhuru 2025 wazindua shule mpya ya sekondari Makatapola kata ya Migoli mapema April 28, 2025
Mradi huu wa shule unagharimu kiasi cha shilingi 583,180,028.00/- kutoka serikali kuu. Ujen...
Imewekwa : May 3rd, 2025
Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa yamefanyika katika viwanja vya kijiji cha Makatapola kata ya Migoli mapema Aprili 28, 2025 ambapo Kimkoa yamepokelewa na Mkuu wa Mkoa...