Imewekwa : June 14th, 2025
Kamati ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Ndugu Yahya Kiliwasha, imefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo kwa Robo ya Nne kwa mwaka wa Fedha 2024/2025....
Imewekwa : May 29th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, amepokea Ugeni wa Kampuni ya CC AIRWELL kutoka Nchi ya Austria Barani Ulaya wenye lengo la kuwekeza katika Kuvuna Maji Safi kutoka Angani Kwa Teknolojia...
Imewekwa : May 26th, 2025
Mamia ya waombolezaji wajitokeza kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho ndugu yetu Mhe. Felix Waya aliyekuwa Diwani wa kata ya Kiwele katika kijiji cha Mgera Halmashauri ya Wilaya ya...